POPNABLE kenia kenia

  • Homepage
  • Radio Hits 2024
  • Radio Popnable
  • Register
  • Oanmelde
  • Ûntdekke
    • Ûntdekke
    • Ferskes
    • Muzyk Keunstners
  • Muzyk Charts
    • Muzyk Charts
    • Hot 100 Ferskes - Deistich
    • Top 100 Ferskes - Deistich
    • Top 40 Ferskes
  • Homepage
  • kenia
  • Ferskes
  • Ni Sawa
  • Teksten En Oersettingen

Teksten En Oersettingen - Ni Sawa

— songen troch Steph Kapela , Vijana Barubaru

"Ni Sawa" tekst en oersettingen. Untdek wa't dit liet skreaun hat. Fyn wa't de produsint en regisseur is fan dizze muzykfideo. "Ni Sawa" komponist, teksten, arrangement, streamingplatfoarms, ensfh. "Ni Sawa" is in ferske útfierd op swahily. "Ni Sawa" wurdt songen troch Steph Kapela , Vijana Barubaru
  • Homepage
  • teksten en oersettingen
  • muzyk charts
  • stats
  • earnings
  • keapje it ferske
Ni Sawa Muzykfideo
Download New Songs

Listen & stream

×

Sjoch op Youtube

×
Video
Ni Sawa
Lân


 Kenia Kenia
Added
01/01/1970
Melde
[Net muzyk relatearre ] [Add Related Artist] [Ferwiderje keppele artyst] [Add Lyrics] [Add Lyrics oersetting]

"Ni Sawa" Lyrics

"Ni Sawa" hat teksten yn swahily taal.
"Ni Sawa" betsjutting komt út swahily taal en is op it stuit net omsetten nei Ingelske oersetting.

"Ni Sawa" is Swahili for "It's Okay." This catchy Afropop dance tune tells the story of an aggrieved ex lover that is offended not by being left but by the person they were left for. It is a story of denial laced with humor. The song also borrows a lot from African chanting which can be heard at the beginning, middle and end. It is a smooth blend of both African Folk sounds and Afropop that inspires its listeners to see themselves in the story while at the same time igniting a fire to dance.

Written & Performed by: V-BE & Steph Kapela
Audio Produced, Mixed & Mastered by: Ihaji Made It
Video by: Rahim The Filming King
Back Ground Vocals by: Nkatha Muthoni & Cheruu
Guitars by: Clinton Wahenguzi the Band

Stream "Ni Sawa" on all music platforms

Stream more of V-Be's works on Spotify

Follow Vijana Barubaru on social media platforms
Instagram:
Facebook:
Twitter:
TikTok: @vijanabarubaru

LYRICS
Yii lilili lii lii li li
Wuu lululu luu luu lu lu

Yii lilili lii lii li li
Wuu lululu luu luu lu lu

Yele yelele mama yele yelele mama (Yii lilili lii lii li li)
Wolo wolo wololo mama (Wuu lululu luu luu)

Kosa si kosa, makosa ni kurudia
Pole sana, kama umevumilia
Tulikosana, nikaomba ungenirudia
Ukanikana hadharani, mbele ya Dunia

Bet ilichomeka, zimamoto hawakusaidia
Ndege aviator, ikianguka hawakuniambia
Signs niliona ona ona, na sikufuatilia
Jirani alikuteka, mali yangu wakanikulia

Ni sawa, umeniacha nimeachika
Ni sawa, ningenyamaza yote Tisa
But for real, is that who you have picked over me
Umeniacha nimeachika ni sawa

Uko sure huyo ndo mwenye unataka? Eh? Uko sure? Ni sawa
Uko sure unaezasema with your chest? Eh? Uko sure?
But for real, is that who you have picked over me
Umeniacha nimeachika ni sawa

Ni sawa (Yii lilili lii lii li li)
Ni sawa, Ni sawa (Wuu lululu luu luu lu lu)

Naomba on your wedding day, stima zipotee
Upate fat fingers ring isitoshee
Your boyfriend akubuyie ka doggy
Ukithani ni ka cute kakuume
Mother-in-law na father-in-law ah
Wakuchukie wakikuona
Unathani ye ni catch kumbe ye ni sperm donor
Hiyo ni nini unabonya

My lord I wonder
But as long as your happy wena
We penda kenye unapenda
Hii imeemda

Ni sawa, umeniacha nimeachika
Ni sawa, ningenyamaza yote Tisa
But for real, is that who you have picked over me
Umeniacha nimeachika ni sawa

Uko sure huyo ndo mwenye unataka? Eh? Uko sure? Ni sawa
Uko sure unaezasema with your chest? Eh? Uko sure?
But for real, is that who you have picked over me
Umeniacha nimeachika ni sawa

Yele yele yelele mama yele yelele mama (Yii lilili lii lii li li)
Wolo wolo wololo mama wolo wololo mama (Wuu lululu luu luu)

Yele yele yelele mama yele yelele mama (Yii lilili lii lii li li)
Wolo wolo wololo mama (Wuu lululu luu luu)

Popnable © 2015-2025

About ToS What's New Contact Us Privacy Copyrights (DMCA)